WAZEE YANGA KUMPONGEZA MANJI JUMAMOSI

WAZEE wa klabu ya Yanga wameandaa hafla maalum ya  kumpongeza aliyekuwa mfadhili wao, Yussuf Mehboob Manji (pichani).
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari, hafla hiyo inatarajiwa kufanyika jumamosi kwenye makao makuu ya klabu hiyo.
Wazee hao wamefikia hatua hiyo kutokna ana Manji kuisadia kwa kiasi kikubwa klabu hiyo katika kipindi chake cha ufadhili kabla ya kujivua gamba hivi karibuni kutokana na msigano uliotokea baina yake na viongozi.

Comments