'WAME WENZA 'CHUJI NA KASEJA USO KWA USO

Kipa wa Simba Juma Kaseja pamoja na kiungo Athuaman Idd Chuji ambao walikuwa na tofauti baina yao kwa sababu ya mwanamke kwa sasa wamekutana uso kwa uso.
Nguli hao katika soka la bongo walikuwa katika msigano katika miaka ya nyuma kutokana na mwanadada anayejulikana kwa jina la Jamila ambaye alishiriki nao kimapenzi kwa nyakati tofauti.
ni Chuji ndiye alianza 'kumuoa' jamila kabla ya kupiokwa na kigogo mmoja wa Simba hali iliyomfanya aikimbie timu hiyo na kujiunga na Yanga.
Hata hivyo, Kaseja naye alikuja 'kumuoa'mwanadada huyo baadaye.Lakini kwa sasa nguli hao walishatalikiana na kila mmjoa alishaoa na wanaendelea na maisha yao ya ndoa.
Kwa sasa Chuji amerejea Simba na yupo yupo na timu hiyuo inayoendelea kujinoa visiwani Zanzibar.

Comments