TAIFA STARS YALALA BAO 1-0 KWA BAFANABAFANA

TIMU ya soka ya Taifa 'taifa stars' imeshindwa kufurukuta dhidi ya timu ya taifa ya Afrika Kusini 'Bafana bafana'baada ya kufungwa bao 1-0 kupitia mechi ya kimtaiafa ya kirafiki iliyopigwa leo kwenye uwanja wa taifa,jijini dar es salaam.

Comments