SIMBA YAVUNA TENA SHILINGI MIL.150 TP MAZEMBE

UNAWEZA sema ni mwaka wa neema kwa klabu ya soka ya Simba kwani kwa mara ya pili sasa kwa kipindi kisichozidi miezi miwili imeweza kuvuna jumla ya shilingi milioni 300 sawa na dola 200 toka kwa mabingwa wa soka barani Afrika, TP Mazembe ya Congo.
Hii inatokana na kuwauza wachezaji wake wawili, ambapo awali ilimuuza msambuliaji wake chipukizi, Mbwana samata na sasa imemuuza mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka Uganda, Patrick Ochan (PICHANI KUSHOTO).

Comments