SIMBA YAMNYATIA ASSAMOH WA ASANTE KOTOKO

KLABU ya soka ya Simba ipo katika mazungumzo na klabu ya Asante Kotoko ya Ghana ili kuweza kumsajili msha,buliaji wake, Kenneth Assamoh.
Mwenyekiti wa Simba Alhaj Ismail Aden Rage amesema kwamba iwapo mambo yatakwenda vema watamsajili mchezaji huyo ili kuweza kuichezea timu hiyo katika msimu wa ligi kuu bara 2011/2012, pamoja na michuano ya kimataifa.

Comments