SIMBA YAENDA KUJINOA ZENJI, MO KUIJAZA MANOTI IWAPO...

WEKUNDU wa msimbazi timu ya soka ya Simba imeondoka mchgana wa leo kuelekea Visiwani zanzibar kwa ajili ya kambi ya kujiandaa na mechi yake ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Wydad Casablanca, itakayopigwa wiki ijayo huko Cairo,Misri.
Aidha, Mbunge wa Singida mjini ambaye pia ni mnazi mkubwa wa timu hiyo ameahidi kuwajaza manoti wachezaji wa timu hiyo iwapo watawasukumizia mbali kwenye michuano hiyo waarabu hao.

Comments