SIMBA MWAKA WA TABU , YAKWANYULIWA 3-0 NA WYDAD CASABLANCA

WEKUNDU wa msimbazi Simba imeshindwa kuwapa raha mashabiki wake baada ya kubali kipigo cha mabao 3-0 dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ambapo Wydad ilipata mabao hayo katika dakika ya 88,89 na 91.
Mechi hiyo ambayo ilikuwa ya kuwania kufuzu hatua ya makundi katika ligi ya mabingwa Afrika, Simba ilijitahidi sana katika mchezo huo lakini katika dakika za mwisho ilijichanganya na ndipo kupelekea kipigo hicho.

Comments