SIMBA KWENDA CAIRO ALHAMIS

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye ligi ya mabingwa barani Afrika timu ya soka ya Simba itaondoka nchini siku ya Alhamis kwenda Cairo, Misri tayari kwa mechi yao dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco itakayopigwa Mei 28.
Kikosi cha Simba kipo Visiwani Zanzibar kikijiandaa na mechi hiyo ambapo kama itawafunga waarabu hao itatiga robo fainali.

Comments