SEYDOU KEITA ATEMWA 'THE EAGLES'

KIUNGO wa mali anayekipiga katika klabu ya Barcelona Seydou  Keita ameachwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Mali 'The Eagles' kinachojiandaa na mechi ya kufuzu fainali za mataifa ya Afrika dhidi ya Zimbabwe.
Kocha wa The Eagles Mfaransa Alain Giresse ametangaza kikosi cha wachezaji 23 ambao watakwenda kupiga kambi nchini Afrika Kusini kujiandaa na mechi hiyo itakayopigwa Juni 5 katika jiji la Harare, Zimbabwe.
Licha ya kuisaidia Barca kutwaa ubingwa wa Hispania lakini Giresse hakuwa tayari kumwita mkali huyo aktyika kikosi hicho kinachoshika nafasi ya pili katika kundi A linaloongozwa na Cape Verde.
Mali squad:
Oumar Sissoko (Metz, France), Soumaïla Diakite (Stade Malien) , Almamy Sogoba (AS Real), Drissa Diakite (Nice, France), Adama Coulibaly (Auxerre, France), Amadou Sidibe (Auxerre, France), Ousmane Berthe (Jomo Cosmos, South Africa), Abdoulaye Maiga (USM Alger, Algeria), Adama Tamboura (Metz, France), Mohamed Fofana (Toulouse, France), Cedric Kante (Panaïthinakos, Greece), Mahamadou Diarra (Monaco, France), Kalilou Traore (Odense, Denmark), Abdou Traore (Nice, France), Bakaye Traore, (AS Nancy, France), Samba Sow (Lens, France), Sambou Yatabare (Caen, France), Ismaël Keita (Nantes, France), Mahamane, Traore (Metz, France), Modibo Maiga (Sochaux, France), Cheick T. Diabate (Bordeaux, France), Tenema N'Diaye (Metz, France), Mustapha Yatabare (Boulogne-sur-Mer, France).

Comments