RAIS WA AWAMU YA TATU MH.BENJAMIN MKAPA APATA TUZO YA HESHIMA TASWA

RAIS mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu Benjamin William Mkapa usiku huu amepata tuzo ya heshima ya chama cha waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA), katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Movenpick.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo, Mkapa alisema anawashukuru TASWA KWA TUZO HIYO nahuku akiszema kuwa kati kipindi chake alishindwa kujihusisha na masuala ya michezo kutokana na kutekeleza ilani ya ĂšKAPA'', Hata hivyo Mkapa alisema kuwa anamshukuru aliyekuwa Waziri wa michezo kipindi chake Mh.Juma Kapuya kwa kumhimiza kujenga uwanja mpya wa kisasa.
Alisema uwabnja huio mpya umejengwa kwa juhudi za kodi za Watanzania kwa asilimia 50 na China kwa asilimia 50,

Comments

  1. Hongera Ben. Mbali na matatizo ya hapa na pale, uliiacha Tanzania ikiwa na neema kuliko ulivyoikuta.

    Ni matumaini yetu kwamba J.K. naye ataiacha nchi ikiwa katika neema zaidi kuliko alivyoikuta. Kupokezana kwa aina hii kukiendelea basi tutaweza kupiga hatua.

    ReplyDelete

Post a Comment