PETER MSECHU 'UNANIUMIZA'

MSHINDI wa pili wa tusker Project Fame mwaka huu, Peter Joram Msechu ameapakua singo yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Unaniumiza' akimshirikisha mwanadada aitwaye Bella.
Singo hiyo imetayarishwa katika studi za B'hitz chini ya Hermy B na Pancho Latino.
Awali Msechu alishaachia singo za "hasira hasara' na ;Majaribu aliomshirikisha Godzilla

Comments