NILIVUTIWA NA MMACHINGA HUYU WA KIKE ALIPOPELEKA BIASHARA MAHALI PAKE


WAKATI michezo ya ufunguzi katika ikiendelea katika uwanjawa Ushirika mjini Moshi, nilipata kushuhudia mmachinga wa kike akitinga uwanja na biashara ya viatu vya kuchezea soka maarufu kama 'ndumu'.
Imezoeleka katika baadhi ya viwanja kuwapo kwa biashara kamaza maji, juisi na vitafunwa lakini katikauwanja huu hakukuwa nabiashara za aina hiyo.

Comments