MWANZA YATINGA FAINALI KILI TAIFA CUP 2011



Beki wa timu ya mkoa wa Mwanza akimuzuia mshambuliaji wa timu ya mkoa wa Ilala, Malegesi Mwanga (kushoto) wakati wa mchezo wa nusu Fainali ya pili ya michuano ya Kili Taifa Cup uliofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
 
TIMU ya mkoa ya Mwanza imetinga nusu fainali ya michuano ya kuwania kombe la Taifa 'Kili Taifa Cup' baada ya kuichapa Ilala kwa mabao 2-1 katika mechi ya nusu fainali ya kwanza iliyopigwa katika dimba la Sheikh Amri Abeid mjini Arusha..
Mabao yaliofikisha hatua hiyo Mwanza yaliwekwa kimiania na mshambulijai wa timu hiyo, Jerry Tegete.
Mwanza itacheza na mshindi wa mechi ya kesho itakayowakutanisha Kagera na Mbeya.

Comments