MWANAMICHEZO BORA WA TASWA KUPATIKANA LEO



HAFLA ya utoaji tuzo kwa mwanamichezo bora wa chama cha waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA) itafanyika usiku wa leo katika hoteli ya Movenpick,jijini Dar es Salaam. Mshindi wa jumla katika tuzo hizo atazawadiwa gari aina ya Toyota GX 100, ofa ya kulala usiku mmoja hotelini hapo,pamoja nsa kwenda kutalii katika mbuga za wanyama,huku washindi wa kila kundi kila mmoja atazawadiwa kitita cha shilingi mil.1.



Aidha,Makamu wa kwanza wa rais dk.Mohammed Gharib Bilali anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

Comments