MKE WA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MAMA ASHA BILAL, AZINDUA MFUKO WA PAMOJA TUSHIKAMANE WA KUSAIDIA WAZEE WASIOJIWEZA

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akizungumza wakati akisoma hotuba yake ya uzinduzi rasmi wa Mfuko wa kusaidia Wazee wasiojiweza wa ‘Pamoja Tushikamane’ ulio chini ya Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tushikamane Pamoja Faundation. Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. 
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal (katikati) na Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tushikamane Pamoja Faundation, Rose Mwapachu (kulia) wakipiga makofi kuwashangilia watu waliojitolea kuchangia wakati wa hafla ya uzinduzi  wa mfuko huo iliyofanyika kwenye Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam jana
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akizungumza jambo na Balozi Juma Mwapachu, baada ya kuzindua rasmi mfuko wa Tushikamane Pamoja Faundation, iliyofanyika kwenye Hoteli ya New Africa jijini dare s Salaam.
                                                      Baadhi ya wageni walioalikwa kuhudhuria hafla hiyo.

Baadhi ya wageni walioalikwa kuhudhuria hafla hiyo.

Baadhi ya wageni  waalikwa (Picha zote na Muhidin Sufiani -OMR)

Comments