MAMAPIPIRO BLOG YAPENDEKEZWA KATIKA MASHINDANO YA BLOG ZA TANZANIA.

Dear Dina,
Mimi ni admin /mwandishi wa (www.tanzanianblogawards.com), ambayo inafanya mashindano ya wanablog na makala taarifa juu ya wanablogu wa Tanzania popote pale waliko. Mashindano haya yameanzishwa kama week mbili zilizopita lakini matokeo ni mazuri sana kuliko tulivyotegemea. Mimi nimeiona blog yako nilivyokua naandika majina ya blogs zilizopendekezwa kwenye mashindano yetu mapaka sasa hivi. Blog yako kwa kweli ni nzuri na tungependa tufanye mahojiano na wewe ili tuweze kuweka kwenye sehemu yetu ya featured blog.
Chini ni maswali ya mahojiano hayo lakini unaweza kuongeza au kupunguza kitu chochote. Na tungefurahia kama ungeweza kujibu mwaswali yote lakini jisikie huru kujibu swali lolote na kuacha yale ambayo hupendelei kujibu.  Tungependelea kufanya mahojiano hayo kwa njia ya barua pepe lakini kama unapendelea kufanya kwa kutumia simu au skype basi tafadhali wasiliana nasi ili tupange siku ya kufanya hivyo.
 Shukrani,

Sara M
Admin/Writer
Tanzania Blog Awards.

HI, WADAU
WADAU WANGU WOTE NAWASHUKURU KWA KUIKUBALI BLOGU YENU HII SAMABMABA NA KUIPENDEKEZA KUINGIA KATIKA MASHINDANO.
NAWAOMBA MUENDELEE KUIPA SAPOTI SAMBAMBA NA KUIPIGIA KURA KWA WINGI.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI.


WENU, DINA

Comments

  1. Hongera sana Da Dina.
    Hiyo ni hatua kubwa katika kuthamini michango ya bloggers kwa jamii ya Tanzania.
    Baraka kwako na kila la kheri

    ReplyDelete
  2. Wooow!!! ni mara yangu ya kwanza kupita hapa.

    Na nimekuta jambo la kumfanya kila mwenye kuisoma habari hii ajikute anatoa pongezi.

    Hongera kwa njia ya mafanikio ulioifikia.

    Pamoja.

    ReplyDelete
  3. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHNovember 11, 2011 at 11:29 PM

    HONGERA SANA MAMA SIMBA...!

    SAYZ MDAU WA BOMBA-USA

    ReplyDelete

Post a Comment