MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akipanda mti ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti katika Mkoa wa Kaskazini Unguja eneo la Mtowapwani, wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali katika mkoa huo jana Mei 22. Picha na Muhidin Sufiani-OMR




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiweka udongo baada ya kupanda mti ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti katika Mkoa wa Kaskazini Unguja eneo la Mtowapwani, wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali katika mkoa huo jana Mei 22.

Comments