MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA NIGERIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mkewe Mama Zakia Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Mahadhi Juma Maalim kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanaza wa Rais Zanzibar, Fatuma Fereji, kabla ya kuelekea Uwanja wa Igol Square, kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Nigeria, Dkt. Goodluck Ebele Azikiwe Jonathan, aliyeapishwa leo Mei 29 jijini Abuja Nigeria. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na mkewe Mama Zakia Bilal, kuelekea Uwanja wa Igol Square, kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Nigeria, Dkt. Goodluck Ebele Azikiwe Jonathan, aliyeapishwa leo Mei 29 jijini Abuja Nigeria. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
 Rais wa liberia, Hellen Hohnson Sirleaf, akiwa ni miongoni mwa waalikwa katika sherehe hizo, hapa naye akitoka nje ya Hoteli ya Hillton kuelekea uwanjani katika sherehe hizo.
Rais wa Rwanda (kulia) , akiteta jambo na baadhi ya viongozi nje ya Hoteli ya hillton.

Comments

  1. Hivi hii awamu ya pili Rais Kikwete ameamua kuwapamba Waislamu au nini? yaani Tanzania imekuwa kama taifia la Kiislamu nchi ya kiislamu, angalia hapo wawakilishi wote Waislamu du, hapo mmeweza.

    ReplyDelete

Post a Comment