MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA COMORO

 Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Comoro, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa rais mpya wa saba wa Jamhuri ya watu wa Comoro zilizofanyika kwenye Viwanja wa Bunge la nchi hiyo jijini Moroni jana Mei 26
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais mpya wa saba wa Jamhuri ya watu wa Comoro Dkt. Iclilou Dhoinine, mara baada ya kuapishwa rasmi katika sherehe zilizofanyika jana Mei 26, katika Viwanja vya Bunge la nchi hiyo jijini Moroni
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa zamani wa Comoro aliyemaliza muda wake.
                                              Rais mpya wa Comoro, Dkt. Iclilou Dhoinine,akiapishwa.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa pamoja na wageni mbalimbali walioalikwa katika sherehe hizo .

Comments