MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA VIONGOZI WA UBA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi  Mkuu wa  ‘United Bank Of Africa’ (UBA), Ajobola Abiola (katikati) wakati alipofika Ikulu Dar es Salaam jana (leo Mei 6) kwa ajili ya mazungumzo. Kushoto ni Ofisa wa benki hiyo, Lilian Mboja. Picha na Muhidin Sufiani- VPO

Comments