BLATTER AIANGUKIA AFRIKA



MGOMBEA urais wa shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA)Sepp Blatter amewaangukia viongozi wa mashirikisho ya soka toka nchi tofauti barani Afrika kwa kutaka wampe sapoti ya kutosha katika uchanguzi unaotarajiwa kufanyika kesho huko Zurich,Uswis.



Blatter amesema anahitaji kura 208 kuweza kupata asilimia 75 ambazo zitamuwezesha kutetyea kiti chake hicho.

Comments