YANGWA KLABU BINGWA, SIMBA KOMBE LA SHIRIKISHO



YANGA itashiriki ligi ya klabu bingwa ya Afrika mwakani baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara jumapili.Yanga ilitwaa ubingwa huo kwa kuifunga Toto Africa ya Mwanza kwa mabao 3-0 na hivyo kuipoka ushindi Simba iliyokuwa ikitetea ubingwa huo.

Hata hivyo, Yanga imefanikiwa kutwaa ubingwa huo kwa kuizidi Simba bao moja tu kwani wao walikuwa na mabao 25 husku Simba ikiwa na mabao 24 lakini wote wakiwa na pointi 49.

Aidha, watani wao wa jadi Simba ambao wameshika nafasi ya pili, waowatashiriki kombe la Shirikisho.

Comments