YANGA YABAKIZA NAFASI TATU KWA WAKIGENI


MABINGWA wa ligi kuu ya Tanzania Bara klabu ya Yanga imebakiza nafasi tatu tu za kusajili wachezaji wa kigeni.
Wachezaji hao watatu watasajiliwa ili kuziba nafasi za nyota wake wa kimataifa walioichexzea msimu uliopita Ivan Knezevic (Serbia), Isaack na Ernest Boakye kutoka Ghana ambao walitupiwa virago kutokana na viwango vyao kushuka.
Katika kuziba nafasi hizo, Yanga ipo mbioni kuwasajili nyota kutoka nchi za Afrika Mashariki na nje ya ukand huo.

Comments