WATOTO WA JULIO WAYUKUMIZWA NJE ALL AFRICAN GAMES

TIMU ya Tanzania chini ya miaka 23 ‘U-23’ imeaga  rasmi mchakato wa kuwania kufuzu kwa mashindano ya All African Games baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa vijana wenzao wa Uganda ‘The Kobs’ kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Comments