WATAKAOCHAKACHUA TIKETI ZA SIMBA V TP MAZEMBE KUKIONA


WAKATI tiketi kwa ajili ya kwenda kushuhudia mechi ya marudiano baina ya Simba na Tp Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), utakaopigwa jumapili zikianza kuuzwa tangu jana, uongozi wa Simba umesema utawachukuia hatua kali za kisheria watu ambao watajaribu kughushi tiketi hizo.

Taarifa zilizopatikana toka ndani ya klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi zimewasisiza mashabiki kununua tiketi halali kwani kutakuwa na uhakiki wa hali ya juu wa tiketi siku ya pambano hilo.

Comments