WANAMICHEZO WANAOWANIA TUZO ZA TASWA WATAJWA




1.RIADHA:

Wanaume: Samson Ramadhan, Marco Joseph na John Bazil, Wanawake: Zakia Mrisho, Mary Naali na Magdalena Mushi.


2. WAVU:

Wanaume: Kevin Peter (Magereza Wanaume) , Mbwana Ally( Mzinga Morogoro) na Ibrahim Cristopher( Nyuki Zanzibar). Wanawake:Hellen Richard Mwegoha (Magereza Wanawake), Yasinta Remmy na Zainabu Thabit (Jeshi Stars).


3. NETIBOLI: Lilian Sylidion (Filbert Bayi), Mwanaid Hassan na Sekela Dominick (JKT Mbweni)
4. KARATE:
Wanaume: Sempai Steven Bella, Semapai Ayub seleman huku kwa Wanawake: Kuna jina moja haliwezi kutangazwa.

5.KIKAPU:

Wanaume: George Otto Tarimo- Savio, Lusajo Samwel Mwakipunda- Oilers na Gilbert Batungi. Wanawake: Faraja Malaki- Jeshi Stars, Zakhia Kondo- Lady Lioness-Dsm na Doritha Mbunda- JKT Stars


6. SOKA:
Wanaume:
Khamis Mcha-Zanzibar Ocean View, Mrisho Ngasa-Azam FC,Shadrack Nsajigwa-Yanga na Juma Kaseja-Simba. Wanawake: Asha Rashid, Mwanahamisi Omary na Fatuma Omary .


7. NGUMI ZA KULIPWA:
Karama Nyilawila, Mbwana Matumla na Francis Cheka

8. NGUMI ZA RIDHAA:Revocatus Shomari-Bantam, Selemani Kidunda-Middle Weight na Said Dume-Fly Weight

9.GOFU:
Wanawake:
Hawa Wanyeche, Madina Iddi na Vailet Peter.Wanaume: Frank Roman-, Adam Abbas na Isaac Anania

10: BAISKELI
Wanaume:Hamis Clement, Richard Laizer na Said Jumanne.Wanawake :Sophia Anderson, Martha Anthony na Ndashimba Kulia.

11.KIRIKETI
Wanaume:
Kassim Nassor, Seif Khalifa na Benson Mwita.Wanaawake:Hawa Salum, Mariam Said na Sophia Hemed

12. MPIRA WA MIKONO
Wanaume:
Kazadi Monga-Magereza, Hemed Saleh na Abineri Kusena-JKT .Wanawake: Happiness Mahinya-JKT, Teresia Kifukwe-Magereza na Zena Mohammed-JKT.



13. WATANZANIA WANAOCHEZA NJE:
Hasheem Thabeet-Kikapu , Henry Joseph-Soka, Rogers Mtagwa-ngumi na Nizar Khalfan-soka

14. WACHEZAJI WA NJE WANAOCHEZA TANZANIA:
Emmanuel Okwi-soka (Simba), Yaw Berko-soka (Yanga) na Kanda Kabongo-kickboxing.

15. WANAMICHEZO CHIPUKIZI:
John Bazil-riadha, Magdalena Cristian-riadha, Lilian Sylidion-netiboli na Vailet Peter-Gofu

16. JUDO:
Wanaume:

Khamis Azan Hussein-Zanzibar, Abeid Omar Dola-Zanzibar na Masoud Amour Kombo-Zanzibar

17: TUZO YA HESHIMA:
Itatangazwa siku ya siku.

Katibu Kamati ya Tuzo
Amir Mhando
27/04/2011

Comments