SIMBA YATOA NOTISI KWA WAPANGAJI WAKE



KLABU ya soka ya Simba imesitisha mkataba na wapangaji wake baada kutoa notisi ya kuwataka wahame kabla ya Mei Mosi ambapo kila kitu kuhusiana na mikataba ya upangaji wa jengo hilo vitakuwa chini ya uongozi.
Alisema baadhi ya watu ambao waliamua kujinufaisha kupitia mgongo wa vitega uchumi kwa kuingia mkataba kinyemela wa miaka minane kuanzia 2002 hadi 2010 lakini kabla mkataba huo haujamalizika mwaka 2007 walionheza mkataba ambao ulikuwa unafikia kikomo mwaka 2014.
“Kuanzaia sasa kuibiwa basi, wazee wetu walipata uchungu na kujenga jengo we fikilria mtu bila aibu amejikusanyia kirahisi bil.1.7, sasa huu ndio mwisho wao, kuanzia sasa kila mpangaji tutakayeingia naye mkataba atakuwa akilipa mil.1.2 kwa mwezi kama kodi ya pango”, Aliongeza Rage.

Comments