SIMBA YAFA KIUME KWA TP MAZEMBE


MABINGWA wa soka Tanzania timu ya Simba jana imekufa kiume baada ya kufungwa kwa shida na mabinmgwa wa Soka Afrika timu ya Tp Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Katika mechi hiyo ya marudiano iliyopigwa kwnye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Simba ilitandikwa mabao 3-2 na hivyo kutolewa katika ligi ya klabu bingwa ya Afrika kwa jumla ya mabao 6-3.

Comments

  1. Tokeni hapa amekufa kiume wapi, kelele zenu tu hizo, sometimes you have to be humbled. Mpira ni uwanjani na siyo nje ya uwanja. I have learned that you guys (Journalist) mna mapenzi mabaya na Simba, just be humble.

    ReplyDelete

Post a Comment