SIMBA WAOMBA AMAN NA UTULIVU


UONGOZI wa klabu ya soka ya Simba umewaomba wanachama wake kuwa watulivu katika kipindi hiochi kufuatia timu yao kushindwa kutetea ubingwa wa ligi kuu bara iliyokuwa ikiushikilia.

Simba iliutema ubingwa huo kwa kuzidiwa bao moja tu na wapinzani wao wa jadi, Yanga ambo walikuwa na mabao 25 huku Simba ikiwa na mabao 24 na hivyo kushika nafasi ya pili.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba kutokana na matokeo hayo wapo katika tathmini kuhusiana na ligi hiyo.

Comments