SIMBA WAKUTANA KUJADILI KUJADILI WALIVYOUTEMA UBINGWA


KAMATI za utendaji na ile ya ufunzi ya timu ya soka ya Simba inatarajiwa kukutana kwa ajili ya kujadili taarifa ya ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2010/2011 uliomalizika jumapili.

Hiyo inafuatia timu hiyo kuokosa ubingwa huo iliyokuwa ikiushikilia ambao ulikwenda kwa mahasimu wao, yanga.

tayari kocha wa Simba Patrick Phiri ameshawasilisha ripoti yake kwa uongozi.

Comments