SIMBA SPORTS CLUB ARENA

MHANDISI TOKA KAMPUNI YA PETROLAND -ALLIANCE YA UTURUKI EMRIE CAKIR MUSTAFA AKIZUNGUMZIA JUU YA UJENZI WA UWANJA WA KISASA WA KLABU YA SIMBA UTAKAOJENGWA HUKO BUNJU, NJE KIDOGO YA JIJI LA DAR ES SALAAM.UWANJA HUO UTAKAPOKAMILIKA UTAKUWA NA UWEZO WA KUINGIZA WATU 30,000 UTAGHARIMU ZAIDI YA SHILINGI BIL.75 ZA KITANZANIA.


UWANJA wa kisasa unaotarajiwa kujengwa na klabu ya soka ya Simba ‘Simba Sports Arena’ unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bil.75 za kitanzania, utakuwa na sehemu za kufanyia manunuzi, hoteli, kumbi mbili za mikutano kwa ajili ya watu mashuhuri ‘VIP’ ambapo kila ukumbi utakuwa na uwezo wa kuingiza watu 80, pamoja na mgahawa utakaoingiza watu 250.

Comments