SAJNA ATOKA NA MGANGA



Kwanza kwa niaba ya Tetemesha napenda kukushukuru sana kwa support unayoendelea kutupatia maana bila mchango wako kwa sehemu yako basi hatuwezi kufika popote.

Pokea wimbo mpya wa SAJNA akiwa amemshirikisha msanii anaitwa JOSEFLY mwanachuo wa SAUT mwanza, wimbo unaitwa MGANGA.

Plan yetu ilikuwa wimbo huu tuutoe mwezi June 2011 koz kwa sasa video ya SITAKI KUUMIZWA ya SAJNA ft. LINAH ina wiki mbili tu toka tuitoe rasmi.

Ila kwa bahati mbaya huu wimbo wa MGANGA umevuja na ulikuwa umeanza kuchezwa na baadhi ya vituo vya redio mikoani kitu ambacho kimetuwia vigumu kuuzuia, so tumelazimika kuuwahisha kidogo kuuachia redioni kama official single ya tatu baada ya IVETA na SITAKI KUUMIZWA.Pia unapatikana katika album ya IVETA ya SAJNA.

Song's Details:

Track Name: MGANGA
Singer: SAJNA FT. JOSEFLY

lyrics Composed by:
Verse-1- KID BWOY & JOSEFLY
Verse-2-SAJNA
VERSE-3-JOSEFLY & SAJNA
VERSE-4- SAJNA
BRIDGE- KID BWOY
Chorus composed by SAJNA

Song arranged by: KID BWOY
Beat Produced by: AMBA
Vocals Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ (Mwanza)

Comments