PIGO TASNIA YA HABARI TANZANIA

MAREHEMU ADAM LUSEKELO
TASNIA ya habari nchini imepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na mwandishi mahiri mkongwe Adam Lusekelo.

Lusekelo alikumbwa na umauti huo usiku wa kuamkia jana baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Bwana ametoa, bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.Amen

Comments