PATRICK OCHAN AJARIBIWA TP MAZEMBE

PATRICK OCHAN


SIMBA huenda ikatunisha tena mfuko wake kutoka kwa mabingwa wa soka bbarani Afrika Tp Mazembe ya Congo kupitia kwa mshambuliaji wake kimataifa Patrick Ochan.


TP Mazembe inamfanyia majaribio mshambuliaji huyo aliyejiunga na Simba msimu uliopita na iwapo atafuzu majaribio yake watafanya mazungumzo na Simba kwa ajili ya kumnunua.


Tayari mabingwa hao wamemununua mshabuliaji chipukizi wa Simba, Mbwana Samatha kwa dokla 150,000.

Comments