MTANGAZAJI WA EATV KUIWAKILISHA TANZANIA KATIKA BIG BROTHER AFRICA


Mtangazaji Maarufu wa Kipindi cha 5Connet cha EATV,Bhoke Egina ndiye mwakilishi wa Tanzania katika Reality Show maarufu kama Big Brother Africa inayotarajiwa kuanza Jumapili ya tarehe 1 May 2011,Na mwaka huu litaitwa Big Brother - Amplified (Season 6),na 14 Housemates watakaa mjengoni kwa siku 91 na mshindi kuibuka na zawadi ya dola 200 000 za kimarekani! ..

Comments