M ASUMBWI KURINDIMA KILA WIKI UKUMBI WA AMANA KWA AJILI YA KUSAKA VIPAJI VIPYA

Bondia Mbwana Matumla (kulia) akipambana na Yohana Robart wakati wa mazoezi ya kujipima nguvu yaliyofanyika katika ukumbi wa Amana CCM(Picha Mpiga Picha Wetu)

Bondia Mohamed Matumla (kULIA) akimrushia ngumi Fredy Sayuni wakati wa mpambano wa kujipima nguvu uliofanyika Amana CCM juzi.(Picha Mpiga Picha Wetu)

Comments

Post a Comment