KOCHA WA NGUMI SUPER D KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUHAMASISHA MCHEZO HUO KUPITIA DVD YAKE


Kocha wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' (kulia) akiwapatia maelezo ya video aliyoiandaa kwa mtindo wa DVD ambayo itaweza kuwafundisha mchezo huo, Dar es Salaam jana Mabondia, Maneno Osward, Robart Mroso na Chaurembo Palasa.(Picha na Mpiga picha Wetu)

Comments