KOCHA MGANDA AMRITHI PHIRI SIMBA



KOCHA msaidizi wa timu ya soka ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' Mganda Mosses Bassena (Pichani kushoto)amerithi mikoba ya aliyekuwa kocgha mkuu wa Simba Patrick Phiri ambaye ametupiwa virago rasmi.

Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage amesema Bassena amepewa mkataba wa miezi 6 utakaoanza Mei Mosi, huku pia benchi la ufundi la timu hiyo nilikivunja rasmi na Basena atapewa jukumu la kuliunda upya.

Comments