JK ALIVYOKUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO LEO

 RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA KIKWETE AKIBADILISHANA MAWAZO NA MWENYEJI WAKE AMBAYE NI RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR DK.ALI MOHAMMED SHEIN WAKATI WA SHEREHE ZA MIAKA 47 YA MUUNGANO LEO VISIWANI ZANZIBAR AMBAPO KIKWETE ALIKUWA MGENI RASMI.



Comments