EMMANUEL OKWI ATAKIWA KAIZER CHIEFS

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa timu ya soka ya Simba, Mganda Emmanuel Okwi (pichani)anatarajiwa kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa katika klabu ya Kaizer Chiefs ya huko. Mwenyekiti wa Simba Alhajj Ismail Aden Rage amesema kuwa iwapo atafuzu majaribio hayo na kukubaliana juu ya dau lake, hawatakuwa na hiyana ya kumuachia.

Comments