DVD ZA SUPER D BOXING COACH KUPATIKA UKUMBI WA PTA KESHO

Kocha wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D (kushoto) akitoa
maelekezo yaliyomo katika DVD yake ya mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa
wadau wa mchezo huo kutoka kulia ni Saidi Chaku, Amri Masare, Edson Joel na Antoni Ruta Dar es salaam leo ambapo VIDEO CD hazo zitapatikana kwenye mapambano yote ya ngumi nchini.(Picha na Mpigapicha Wetu).

Comments