BIDHAA ZA ORIFLAME ZASHUSHWA BEI KWA 40% WAHI SASA


















Dear Friends,

Tunakushukuru kwa kuweza kutembelea banda letu wakati wa maonyesho ya“Harusi Trade Fair”, iliyofanyika tarehe 1-3 April 2011 hapo DiamondJubilee hall.



Oriflame Sweden inatengeneza vipodozi vyake kiasilia yaani kwa kutumiamimea na virutubisho vingine vya kiasilia, hivyo havina madhara.


Kampuni ilianzishwa miaka 43 iliyopita huko Sweden na inatengeneza nakuuza vipodozi kwa ajili ya wanawake, wanaume, na watoto ikizingatiaaina ya ngozi, umri, na kusaidie matatizo mengine ya kiulembo.

Vipodozi vya Oriflame vitakusaidia kama unataka kutoa makunyanzi kwawanawake na wanaume, chunusi, vipele vilivyosababiswa na kunyoa ndevu,kutunza kucha, miguu (mfano kuzuia kunuka,kukauka sana, kutoa jasho,kuchoka, n.k.) kupunguza kitambi, kukaza ngozi ya mwili mzima, madoadoa ya kwenye ngozi yatokanayo na chunusi, kuungua na jua, au kutumiacream kali, na nywele zilizochoka au kuzeeke.


Vinginevyo ni poda ,rangi za kucha na mdomo marashi kwa ajili ya wanawake na wanaume.Vipodozi vya Oriflame vinaweza kukusaidia kuongeza kipato, kujiajiri,na kusafiri nchi mbalimbali.Tunachukua fursa hii pia kukujulisha offer tuliyonayo itakayoishatarehe 25 mwezi huu kama ilivyoambatanishwa kwenye email hii.


Kwa maelezo zaidi ,ushahuri wowote wa kuhusiana na vipodozi, urembo,na jinsi gani waweza kufaidika na vipodozi vya Oriflame:



Karibu sana tujumuike katika kupendeza na kutimiza ndoto za baadae!!!!

Comments

  1. kukaza ngozi ya mwili mzima inakuwaje? sijaelewa naomba unieleweshe ....thanx

    ReplyDelete

Post a Comment