BASENA AAHIDI KUIFANYIA MAKUBWA SIMBA


KOCHA mpya wa Simba Mganda Moses Basena ambaye ametua nchini juzi tayari kuanza kutumikia mkapata wake mpya wa miezi sita kwa klabu hiyo amesema moja ya mikakati yake ni kuhakikisha anaipatia mafanikio timu hiyo.
Katika kuhakikisha mikakati yake hiyo inakwenda kama alivyopanga, Mganda huyo leo jioni anatarajiwa kukutana na wajumbe wa kamati ya ufundi ya Simba.

Comments