YANGA YAIKWANYUA AZAM FC 2-1


YANGA imeikwanyua Azama Fc kwa mabao 2-1 katika mechi ya ligi kuu Bara iliyopigwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru.Mabao ya Yanga yalifungwa na Jerry Tegete, huku lile la Azam likifungwa na John Bocco 'Adebayor'.

Comments