YANGA WAINGIA KAMBINI KUJIWINDA NA MECHI ZA LALA SALAMA


TIMU ya Soka ya Yanga imeingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mechi zake nne zilizosalia kabla ya kumalizika kwa ligi hiyo, April 10, 2011.Yanga kesho itacheza na JKT Ruvu uwanja wa Uhuru kabla ya kukipiga na Azam Machi 30, na kisha kucheza na African Lyon April 7 huku wakimaliza ligi kwa kucheza na Toto African ya Mwanza katika dimba la CCM Kirum,ba Mwanza.

Comments

  1. Duuh Yanga wameumia hizo mechi wazizobakisha za kufa mtu ukitoa hiyo Ruvu. Kwani Azam anataka ubingwa. Lyon na Toto wanapigania kubaki daraja la kwanza kazi anayo mgongo wazi.

    ReplyDelete

Post a Comment