WANAWAKE FREE MEDIA TUNAWEZA!

WAKATI leo tukiadhimisha miaka 100 ya siku ya wanawake duniani, sisi wanawake tunaofanya kazi kampouni ya free media wachapishaji wa magazeti la Tanzania Daima na Sayari tumeiadhimisha kwa kuandaa toleo la leo la gazeti la Tanzania Daima.
Hiyo inaonyesha kuwa ni jinsi gani wanawake tunaweza hivyo tuungwe mkono kwa hilo.
Nawapongeza wanawake wenzangu wote duniani!
WANAWAKE OYEEE!

Comments