VIONGOZI WA TASWA WAUNGURUMA KOREA KUSINI

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) Maulid Kitenge, akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama cha waandishi wa habari za Michezo duniani (AIPS), unaofanyika mjini Selou Korea Kusini.

Katibu Msaidizi wa TASWA, George John, akizungumza wakati wa Mkutano wa chama cha waandishi wa habari za Michezo duniani AIPS mjini Seoul., Korea Kusini

RAIS wa AIPS Gianni Merlo akiwa katika pamoja na viongozi wa vyama vya waandishi wa habari za Michezo kutoka Afrika wanaohudhuria Mkutano Mkuu wa AIPS mjini Seoul, Korea Kusini.

Comments