UONGOZI WA VODACOM WAZURU VYOMBO VYA HABARI

Mkuregenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akifafanuka jambo kwa mwandishi wa habari wa Capital Television wakati mkurugenzi huyo pamoja na Mkurugenbzi wa mawasiliano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba hayupo Pichani walipotembelea katika vyombo mbalimbali vya habari jana.

Baadhi ya wageni wa Vodacom Tanzania na viongozi mbalimbali wa Africa Media group wakiangalia jinsi matangazo yanavyorushwa kwenye radio ya Magic FM.

Baadhi ya wageni wa Vodacom Tanzania na viongozi mbalimbali wa Africa Media group wakiangalia jinsi matangazo yanavyorushwa kwenye radio ya Magic FM.

Comments