SYVIA SHALLY AULA MISS UNIVERSITY AFRICA 2011



ALIYEKUWA Miss Ilala mwaka 2009 Sylvia Shally amefanikiwa kutwaa taji la urembo la Miss university Africa 2011 lililofanyika mapema mwezi huu huko Bayelsa jijini Lagos, Nigeria .
Mnyange anayesomea shahada ya busness and Administrstion katika chuo cha CBE cha jijini Dar es Salaam alishika nafasi ya tatu katika shindano hilo nha hivyo kuzawadiwa kitita cha shilingi milioni 8.
Mbali ya nafasi hiyo, Slvia pia alitwaa mataji ya The best dressed queen of the camp na The most outstandund queen .

Comments