SIMBA YAKALIA USUKANI WA LIGI



SIMBA jana imewashusha kileleni mahasimu wao wa jadi Yanga baada ya kushinda mechi yao dhidi ya Ruvu Shooting kwa bao 1-0, mechi iliyopigwa katika dimba la Jamhuri mjini Morogoro.
Kwa ushindi huo Simba imefikisha pointi 40 ikifutiwa na Yanga yenye pointi 38 na Azam inayoshika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 35.

Comments